Baby soma huu Uzi

Ndani ya wiki mbili tu, dada ameacha, akaachwa, akapata bwana wana JF wakamletea maneno, akaapa hataki bwana wa JF, na sasa ameposti uzi JF ili baby wake asome. Wiki mbili tu!


Uwe unakumbuka kinga dadaangu. Ila watu waache kukusema hovyo hovyo. Wewe hauna tabia za kimalaya kabisa!
 

Wapi Kasie[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kila nikipga hupatkani.
 
Asante Eliza wangu
 
Eeeeeh?
 
Hivi unadhani niwa jf hapana sio ila nimeweka hivyoo ili nimuonyeshe kuwa humu ninapochartigi Sina mtu kuhusu Kinga haikuhusu rudia Uzi zangu nimesema namimba ulizani yanani??
Siyake???
Kaa Kwa kutulia
 
Aiseee....kweli kua uyaone .Hii ID siielewagi kbsa,,...
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
To yeye nimetafuta humu hakuna wamekomaaa tusura ngumu saivi ni kitu yavyuma yaani anipa push up za ukweli hadi Raha.
 

Attachments

  • images (21).jpeg
    14.5 KB · Views: 1
  • images (20).jpeg
    19 KB · Views: 1
Wakisema unajiuza waambie mie ndio nakununua 🀣🀣🀣🀣 Gaganiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…