"Baby tangulia utandike nakuja"

"Baby tangulia utandike nakuja"

Best inaonyesha unapenda minyanduanoo. Anyway kama hajatulia hajatulia tu hata umpe vya uvunguni kila siku. Mapenzi hayaitaji u serious sana, kama ni wako ni wako tu by any means en vise versa........
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wapenzi salama mlipo?
Basi bwana....

Mwanamke unapokuwa umetangulia kitandani umemuacha mumeo sebuleni yuko anaendelea kuangalia TV au yuko na laptop au simu kwa madai kwamba utangulie anaperuzi peruzi anakuja unajua yanayoendelea?? Siku unyate kimya kimya uchungulie anachoperuzi mumeo alafu uje ulete majibu.

Haha nacheka kama mazuri.... Watu wanamalizana kwenye simu humo humo wamepandishana Kilimanjaro na kushuka ndani ya nusu saa wanalala wepesiiiii kama pamba wewe uko mbingu ya 7 hoi kwa usingizi una miezi 6. Akija kitandani analala zake anajikunja pembeni kabisaa anageukia ukutani inakuwa usiku inakuwa asubuhi siku zinaenda. Miezi inakata mwaka miaka huguswi. Ukistuka hisia zimehama kwako Unaenda kwa mwamposa kukanyaga mafuta eti mume arudi kwa uzembe wako. Mshike mkono muingie wote kitandanii asee duniani sio kwema. Anachokitaka kiko kiganjani kwake hana haja ya kutoka ndani.

Mambo ni mengi mda ni mchache abiria chunga mzigo wako.
Kumbe ndio maana unakomaa na ule uzi wa Insider sio? 😀😃😄😆😆
 
Back
Top Bottom