GE2025 Babyilon Mwakyambile ameomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kyela

GE2025 Babyilon Mwakyambile ameomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kyela

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Babyilon Mwakyambile ameingia kwenye mbio za ubunge kwa kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya.

Mwakyambile ambaye kitaaluma ni mthamini wa ardhi akiwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar Es Salaam, amesema ameamua kujitokeza kuwania nafasi hiyo ili kutimiza azma yake ya kuwatumikia wananchi kupitia jimbo hilo.
1751347387861.png
 
Mbona hana mtikisiko wowote huyu? Anajukana na mkewe tu, nobody knows him, halafu mnasema atatikisa Kyela.
 
Back
Top Bottom