Bacca after this season, apewe trial Ulaya. He is too good

Bacca after this season, apewe trial Ulaya. He is too good

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Kwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu.

Wasting his potential at Yanga.

Huyu hata Manchester United anapita.

1718138924666.png
 
Binafsi ndani ya Yanga key players wako katika makundi mawili.
1. Diarra na Bacca. Hawa ni wachezaji Nyeti na Muhimu sana.
2. Aucho, Ki na Pacome, hawa ni wachezaji muhimu sana.

Bacca ni mchezaji pekee mzawa kwa sasa ambaye anaweza kucheza ligi yoyote duniani, yoyote. Kama shukurani kwake, tumtafutie timu nje kwa heshima yake. Lakini pia hata kwa hesabu za kuvuna pesa ndefu mbeleni.
 
Utashangaa anauzwa Algeria... halafu anaenda kupigwa benchi... akirudi kachoka!... uza ligi nyepesi ulaya huko, Belgium, Urusi, Turkey dogo anatoboa huyu
 
Kwani matangazo ya kuhimiza raia wakapige kura yanasaidia nini?
Yaani nataka kujua sipo kubishana, yaani wale wachambuzi wanaposema bacca aende kucheza nje man city au Man U Au arsenal inawafikia vipi wao?
Mbona Kama unataka ligi wakati ni swali nataka kujua
 
Kwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu.

Wasting his potential at Yanga.

Huyu hata Manchester United anapita.

View attachment 3014981
Mtu wa kwanza kusaidia ni management yake aka wakala huyu ni mtu muhimu sn kwenye maendeleo ya mchezaji then anakuja mchezaji anataka nini km wakala hafanyi kazi yake,mchezaji anaweza kua mbunifu kwa kuhitaji kuondoka kwenda huko kwingine,hata South Africa anaweza kwenda cheza pia
 
Back
Top Bottom