Bacca after this season, apewe trial Ulaya. He is too good

Bacca after this season, apewe trial Ulaya. He is too good

Jamaa yuko serious sana na kazi.Wasipomloga atafika mbali.
 
Jamaa yuko serious sana na kazi.Wasipomloga atafika mbali.
Nchi Haina mawakala wanao eleweka, kwaiyo anacho hitaji Bacca ni Bahati tu kwakua jitihada anazo.
Bahati uifungua njia ambayo haikutegemewa kuwa njia.
 
Nani anamsimamia Bacca, Kama anataka kucheza ulaya ni juhudi zake mwenyewe na sio asubiri kuitwa ulaya.
 
Bacca huu unaweza ukawa msimu wake wa mwisho hapa bongo

Uzuri yanga haijwahi kumbania kijana akifuata process zote hamuoni msuva?

Bacca asiuzwe uarabuni wale jamaa waharibifu sana
 
Back
Top Bottom