Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Sure, jamaa ni talent.Wachambuzi wanahimiza idadi ya wachezaji wa kigeni ipunguzwe badala ya kuhimiza wazawa wenye vipaji kama hawa waende kucheza nje.
Binafsi ndani ya Yanga key players wako katika makundi mawili.
1. Diarra na Bacca. Hawa ni wachezaji Nyeti na Muhimu sana.
2. Aucho, Ki na Pacome, hawa ni wachezaji muhimu sana.
Bacca ni mchezaji pekee mzawa kwa sasa ambaye anaweza kucheza ligi yoyote duniani, yoyote. Kama shukurani kwake, tumtafutie timu nje kwa heshima yake. Lakini pia hata kwa hesabu za kuvuna pesa ndefu mbeleni.
wao wakihimiza inasaidia vipi yeye kwenda kucheza Man U au man city?Wachambuzi wanahimiza idadi ya wachezaji wa kigeni ipunguzwe badala ya kuhimiza wazawa wenye vipaji kama hawa waende kucheza nje.
Naunga Mkono Bacca auzwe Ulaya; anajua sana kazi yake anapokuwa ofisini.
Huyu na papara zake atapigwa mitobo huyu mpaka ajute unajua vyema kucheza ligi ya Ulaya kwanza aanze na TP Mazembe tu kisha suala la ulaya lije.Naunga Mkono Bacca auzwe Ulaya; anajua sana kazi yake anapokuwa ofisini.
Huyu hata Fulham hapati namba.Kwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu.
Wasting his potential at Yanga.
Huyu hata Manchester United anapita.
View attachment 3014981
Yanga wanataka washiriki kikamilifu club bingwa AfricaKwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu.
Wasting his potential at Yanga.
Huyu hata Manchester United anapita.
View attachment 3014981
Hizi ndio roho za waswahiliHuyu hata Fulham hapati namba.
Ana red card ngapi kwenye mashindano yote aliyo cheza?Huyu na papara zake atapigwa mitobo huyu mpaka ajute unajua vyema kucheza ligi ya Ulaya kwanza aanze na TP Mazembe tu kisha suala la ulaya lije.
kakipiga afcon afeli Fulham??? Huna akiliHuyu hata Fulham hapati namba.
Hizo ndio roho za watu wenye maisha magumukakipiga afcon afeli Fulham??? Huna akili
Kwani matangazo ya kuhimiza raia wakapige kura yanasaidia nini?wao wakihimiza inasaidia vipi yeye kwenda kucheza Man U au man city?
Yaani nataka kujua sipo kubishana, yaani wale wachambuzi wanaposema bacca aende kucheza nje man city au Man U Au arsenal inawafikia vipi wao?Kwani matangazo ya kuhimiza raia wakapige kura yanasaidia nini?
Mtu wa kwanza kusaidia ni management yake aka wakala huyu ni mtu muhimu sn kwenye maendeleo ya mchezaji then anakuja mchezaji anataka nini km wakala hafanyi kazi yake,mchezaji anaweza kua mbunifu kwa kuhitaji kuondoka kwenda huko kwingine,hata South Africa anaweza kwenda cheza piaKwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu.
Wasting his potential at Yanga.
Huyu hata Manchester United anapita.
View attachment 3014981