Kama hizi habari zina ukweli basi namtakia Kila la kheri. Ni beki mzuri.Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hatari sana mkuukumekucha! Nani kachukua Kibiriti changu
Tutamkosa m,badala wa ku re placeKama hizi habari zina ukweli basi namtakia Kila la kheri. Ni beki mzuri.
Hata tulipowaambia bocco badao yupo simba...hamkuamini[emoji23]Ngumu sana hii japo na wish iwe kweli
Kabisa mkuuHuyu jamaa anajua kazi yake vizuri. Ni beki wa kazi hasa na hana vitu vingi bali anafanya vitu vya msingi tu anavyotakiwa beki kufanya basi. Sidhani kama atakuwa Yanga muda mrefu maana kama sio Januari hii basi dirisha kubwa ataondoka. Kila la heri kwake.
Nyie endeleeni kusajili wazeeDoooooo
Aseee hii nzuri ila wamfunge na Feisal kama nyongeza.Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naanguka huyoooo anachukua mikoba ya Bacca!Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nadhani dirisha kubwa baada ya michezo ya club bingwa AficaHuyu jamaa anajua kazi yake vizuri. Ni beki wa kazi hasa na hana vitu vingi bali anafanya vitu vya msingi tu anavyotakiwa beki kufanya basi. Sidhani kama atakuwa Yanga muda mrefu maana kama sio Januari hii basi dirisha kubwa ataondoka. Kila la heri kwake.
Fei wanaharibu tu kiwango chake, ilibidi akagombanie namba ya de bryuneMbna tuliambiwa fei toto anaenda ukoloni