Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.

Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.

Bravo scout wa Yanga [emoji1628]
1706156263075.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.

Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.

Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137

Kama hizi habari zina ukweli basi namtakia Kila la kheri. Ni beki mzuri.
 
Huyu jamaa anajua kazi yake vizuri. Ni beki wa kazi hasa na hana vitu vingi bali anafanya vitu vya msingi tu anavyotakiwa beki kufanya basi. Sidhani kama atakuwa Yanga muda mrefu maana kama sio Januari hii basi dirisha kubwa ataondoka. Kila la heri kwake.
 
Kabisa mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.

Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.

Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Aseee hii nzuri ila wamfunge na Feisal kama nyongeza.
Nitashangaa sana kama pep guardiola vijana wake hawajamuona fei toto
 
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.

Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.

Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naanguka huyoooo anachukua mikoba ya Bacca!

Mwamba akiondoka Yanga itateseka kwa muda
 
Huyu jamaa anajua kazi yake vizuri. Ni beki wa kazi hasa na hana vitu vingi bali anafanya vitu vya msingi tu anavyotakiwa beki kufanya basi. Sidhani kama atakuwa Yanga muda mrefu maana kama sio Januari hii basi dirisha kubwa ataondoka. Kila la heri kwake.
Nadhani dirisha kubwa baada ya michezo ya club bingwa Afica
 
Back
Top Bottom