Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kocha wa Timu ya Taifa ya Gambia (zamani alikuwa Kocha wa Yanga) ameshangaa alipoambiwa Ibrahim Bacca ni mchezaji wa Yanga. Vilevile Kocha wa Timu ya Zesco ya Zambia George Lwandamina "Chicken" amesema kuwa mfungaji wa goli la kusawazisha la Timu ya Zambia Patson Daka asingefunga iwapo angekabwa na Ibrahim Bacca. Kwa kweli jamaa anapambania sana Taifa lake.
 
Kama ni kweli ni jambo jema, ila na Job angepewa pale kwa Mwanyeto naamini naye angeuza jina.
 
huyu atazeekea hapa hapa utopolo. hifadhi hii comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…