Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Mpambanaji Kama bacca ni halali kwake kwenda ulaya Hata aanze na timu ya kawaida ligi daraja la kwanza apande Mpaka timu kubwa za ulaya .
Wa Zanzibar wenzake wapo England wamuunganishie timu ulaya Kama mwenzake abdala shaibu alipokuwa La galaxy .

Watoto wadogo wakiona mifano Yao watataka nao wawe Kama wao , sio sasahivi mtaani watoto wanataka kuwa Kama Diamond , harmonize , marioo nk upuuzi mtupu mfyuuuu.
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa anajua kazi yake vizuri. Ni beki wa kazi hasa na hana vitu vingi bali anafanya vitu vya msingi tu anavyotakiwa beki kufanya basi. Sidhani kama atakuwa Yanga muda mrefu maana kama sio Januari hii basi dirisha kubwa ataondoka. Kila la heri kwake.
Kocha wa Timu ya Taifa ya Gambia (zamani alikuwa Kocha wa Yanga) ameshangaa alipoambiwa Ibrahim Bacca ni mchezaji wa Yanga. Vilevile Kocha wa Timu ya Zesco ya Zambia George Lwandamina "Chicken" amesema kuwa mfungaji wa goli la kusawazisha la Timu ya Zambia Patson Daka asingefunga iwapo angekabwa na Ibrahim Bacca. Kwa kweli jamaa anapambania sana Taifa lake.
 
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.

Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.

Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli ni jambo jema, ila na Job angepewa pale kwa Mwanyeto naamini naye angeuza jina.
 
Huyu jamaa anajua kazi yake vizuri. Ni beki wa kazi hasa na hana vitu vingi bali anafanya vitu vya msingi tu anavyotakiwa beki kufanya basi. Sidhani kama atakuwa Yanga muda mrefu maana kama sio Januari hii basi dirisha kubwa ataondoka. Kila la heri kwake.
huyu atazeekea hapa hapa utopolo. hifadhi hii comment
 
Back
Top Bottom