Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Asalaam aleykum Mtani?Nyie endeleeni kusajili wazee
Mnara wa 5 [emoji113]G utakuja tena
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Scout wa Yanga au wa Leverkuzen? Maana wa Yanga alimleta pia Skudu na KonikoniBravo scout wa Yanga
Sawa bossChai bila ya vitafunwa na baridi hili aiseeeee
Usisahau pia walimletaScout wa Yanga au wa Leverkuzen? Maana wa Yanga alimleta pia Skudu na Konikoni
Yanga ni kiboko mkuuAmka usingizini mkuu utajinyea
Porojo tu labda aende kwenye low tier league kama uholanzi, Belgium and the likeSina Shaka na uwezo wa Bacca unajipambanua ,ila kwenda Beyern Leverkusen Moja Kwa Moja nahisi Ni porojo za hizo media uchwara,Si dhani kama Yule Fabrizio Romano angeshindwa kupost hii maana ana Dili sana na Ulaya.
Mie Kolo ila Bacca yule mtu na nusu aisee. Utadhani sio mzenji vile?Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kazaliwa mwaka 1999 kwa hiyo sasa hivi ana miaka 25Umri wake tafadhali
2024 - 1999 = 25Kazaliwa mwaka 1999 kwa hiyo sasa hivi ana miaka 26
kuondoka aende wapi? aliyeandika hiyo post kule Twitter ni chizi fresh na nyie mnavaa mkenge kumwamini.. JF imegeuka kuwa jukwaa la vilaza sikuhiziUzuri ni kwamba amemwaga wino juzi juzi tu kwaiyo hawezi kuondoka cheap.
Labda zimbwePorojo tu labda aende kwenye low tier league kama uholanzi, Belgium and the like
Yaaah mwenyeweHuyu jamaa ndio anaitwa Ibrahim Bacca? Jezi yake ina jina lingine, aisee kwa kweli jamaa anacheza poa sana.
Zenji Kuna vipaji sana mkuuMie Kolo ila Bacca yule mtu na nusu aisee. Utadhani sio mzenji vile?