Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Sina Shaka na uwezo wa Bacca unajipambanua ,ila kwenda Beyern Leverkusen Moja Kwa Moja nahisi Ni porojo za hizo media uchwara,Si dhani kama Yule Fabrizio Romano angeshindwa kupost hii maana ana Dili sana na Ulaya.
Porojo tu labda aende kwenye low tier league kama uholanzi, Belgium and the like
 
Huyu jamaa ndio anaitwa Ibrahim Bacca? Jezi yake ina jina lingine, aisee kwa kweli jamaa anacheza poa sana.
 
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.

Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.

Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mie Kolo ila Bacca yule mtu na nusu aisee. Utadhani sio mzenji vile?
 
Uzuri ni kwamba amemwaga wino juzi juzi tu kwaiyo hawezi kuondoka cheap.
kuondoka aende wapi? aliyeandika hiyo post kule Twitter ni chizi fresh na nyie mnavaa mkenge kumwamini.. JF imegeuka kuwa jukwaa la vilaza sikuhizi
 
Back
Top Bottom