Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Stars ingepita round inayofuata,wachezaji wengi wangepata timu mbele huko...
 
Stars ingepita round inayofuata,wachezaji wengi wangepata timu mbele huko...
Hamna Wachezaji wa kucheza mbele mule Stars...kilomita zimeshasoma kwa Wachezaji wengi....

Huoni kina Msuva na Samata wanvyokimbia kama Wana Bunzi makalioni....no speed, no fhiziki, no ball balance, no ball Control....na ball brain

Hata Akili zao zimechoka....kutwa kujirusha na kuanguka anguka.
 

Hao unawataja kwa kuwa wamepangwa mechi zote, wapo wachezaji ambao hawakupata nafasi kucheza...

Scouts huwa wanatazama vitu vichache tu...
 
Ukweli Baccha anajua na ni ngome, ila kwa hicho chanzo cjako cha habari hii jaina sifa ya kuitwa habari. Bora ungejiandikia mawazo yako tu na kuya post humu
 
Mimi uto lia lia na kweli ninamkubali Bacca ila pia katika michuano hii nimemkubali Mohamed Hussein "Zimbwe" aliupiga mwingi sana.
 
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC
Na Kipa wa Stars Manula bado yupo TZ! Huyu naye hana muda mrefu. Kafanya kazi nzuri sana!
 
Mimi uto lia lia na kweli ninamkubali Bacca ila pia katika michuano hii nimemkubali Mohamed Hussein "Zimbwe" aliupiga mwingi sana.
Hawa wapo vizuri sana. Umemsahau Msuva, naye namkubali.
Mbwana Samatha naona muda wa kupumzika umeshawadia. Nafikiri ni AFCON ya mwisho kwake.
 
hakuna anayepinga kuwa bacca ni bonge la mchezaji,lakini kusema anagombewa na timu kubwa ulaya ni uongo,bacca kwa ulaya bado sana,kwanza afya tu shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…