Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #81
Sahihi lazima tupate kibundaUzuri ni kwamba amemwaga wino juzi juzi tu kwaiyo hawezi kuondoka cheap.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi lazima tupate kibundaUzuri ni kwamba amemwaga wino juzi juzi tu kwaiyo hawezi kuondoka cheap.
Daaah sijakaa sana bongo ....nipo najifunza Swahili.....Mbona sentesi yako inajichanganya!!??
Mbadala = replacement.
Sawa kilaza mkuu[emoji23]kuondoka aende wapi? aliyeandika hiyo post kule Twitter ni chizi fresh na nyie mnavaa mkenge kumwamini.. JF imegeuka kuwa jukwaa la vilaza sikuhizi
Wacha weeee! Itapigwa 5-1 ???Naanguka huyoooo anachukua mikoba ya Bacca!
Mwamba akiondoka Yanga itateseka kwa muda
Fei toto....amefeli pa kubwa...labda akacheze Simba akitoka Azam....kwengine big noNashangaa watu wanaotafutiaga watu team hawajawahi kumtafutia team fei toto
Hamna Wachezaji wa kucheza mbele mule Stars...kilomita zimeshasoma kwa Wachezaji wengi....Stars ingepita round inayofuata,wachezaji wengi wangepata timu mbele huko...
Hamna Wachezaji wa kucheza mbele mule Stars...kilomita zimeshasoma kwa Wachezaji wengi....
Huoni kina Msuva na Samata wanvyokimbia kama Wana Bunzi makalioni....no speed, no fhiziki, no ball balance, no ball Control....na ball brain
Hata Akili zao zimechoka....kutwa kujirusha na kuanguka anguka.
akale maisha wapi mnadanganywa tu hapa.. Hivi Bacca atakiwe huko alafu wale mapopoma akina Priva wakae kimya tu?Yanga wamwache dogo aende akale maisha!
Ukweli Baccha anajua na ni ngome, ila kwa hicho chanzo cjako cha habari hii jaina sifa ya kuitwa habari. Bora ungejiandikia mawazo yako tu na kuya post humuInaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yupo dikson job
Na Kipa wa Stars Manula bado yupo TZ! Huyu naye hana muda mrefu. Kafanya kazi nzuri sana!Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC
Hawa wapo vizuri sana. Umemsahau Msuva, naye namkubali.Mimi uto lia lia na kweli ninamkubali Bacca ila pia katika michuano hii nimemkubali Mohamed Hussein "Zimbwe" aliupiga mwingi sana.
Lile shati golini?Na Kipa wa Stars Manula bado yupo TZ! Huyu naye hana muda mrefu. Kafanya kazi nzuri sana!
Hakika...tumekufa kiumeStars ingepita round inayofuata,wachezaji wengi wangepata timu mbele huko...
Zimbwe bado anamapungufu mengMimi uto lia lia na kweli ninamkubali Bacca ila pia katika michuano hii nimemkubali Mohamed Hussein "Zimbwe" aliupiga mwingi sana.
hakuna anayepinga kuwa bacca ni bonge la mchezaji,lakini kusema anagombewa na timu kubwa ulaya ni uongo,bacca kwa ulaya bado sana,kwanza afya tu shidaInaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app