Balance equationMsimu ambao wamehesabia hizo tuzo ndo Feisal alikua na migogoro na Yanga sijajua imekuaje apewe tuzo ya Kiungo Bora kuliko Mudathiri ambaye aliisaidia Yanga kushinda Mataji makubwa na pia kufika Fainali ya Shirikisho Africa
Achana na wajinga hao.Huku bongo Oruma na Kazumari wanasema MvP ni feisal, ili hali huko kwao tu wamemkataa
Muda alikuwa na msimu mzuri saana aiseee, kama wamempa fei watakuwa ni wapuuzi. At least wangetazama kigezo cha magoli endapo Fei angechukua kiatu lakini hana chochote kile.Bacca kafika robo final ya caf
Final ya ngao ya hisani
Kombe la NBC
Kombe la Crdb
Hapo hata kiungo Bora alipaswa kuwa Mudathir ila wameogopa na kumpa Fei Zenji waoga sana
Feisal analipwa hela nyingi kuliko Bacca na wote ni wachezaji wazuri sana.Wanamuogopa waliona wasipompa hiyo hakuna tena tuzo wangempa maana kama ni ya nidham hana!
Mchezaji bora hutaka timu aina gani?[emoji599]IBRAHIM BACCA AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZANZIBAR MBELE YA FEISAL SALUM (AZAM) NA MUDATHIR YAHYA (YANGA).
Una swali lolote umejiuliza?
View attachment 3013800
Noted with thanksNi mchezaji mwenye contribution kubwa kuliko wote
Usitelee mateso yako kwetu...naona unalazimisha tuteseke...mnaoteseka ni nyie wachambuzi uchwara..Nawaonea huruma makolo mnavyoteseka[emoji32][emoji32]
Tuliza utopo mdg wangu...ya huku hayawahusuSawa mkuu ila mkianza pigana misumari kule ukoloni....hatutaingilia[emoji23]
Hata makolo wamefurahiiiiii
Mbona hakuna mahali ameitaja simba! πWw utakua mwiko unakuwasha....bila Simba huwezi ishi..
Hivi kumbe basi anisamehe itakua nime ova luku... π π π ππππMbona hakuna mahali ameitaja simba! π