Bacca ampiga chini Feitoto tuzo ya mchezaji bora Zanzibar

Bacca ampiga chini Feitoto tuzo ya mchezaji bora Zanzibar

Msimu ambao wamehesabia hizo tuzo ndo Feisal alikua na migogoro na Yanga sijajua imekuaje apewe tuzo ya Kiungo Bora kuliko Mudathiri ambaye aliisaidia Yanga kushinda Mataji makubwa na pia kufika Fainali ya Shirikisho Africa
Balance equation
 
Bacca kafika robo final ya caf
Final ya ngao ya hisani
Kombe la NBC
Kombe la Crdb
Hapo hata kiungo Bora alipaswa kuwa Mudathir ila wameogopa na kumpa Fei Zenji waoga sana
Muda alikuwa na msimu mzuri saana aiseee, kama wamempa fei watakuwa ni wapuuzi. At least wangetazama kigezo cha magoli endapo Fei angechukua kiatu lakini hana chochote kile.
 
Wanamuogopa waliona wasipompa hiyo hakuna tena tuzo wangempa maana kama ni ya nidham hana!
Feisal analipwa hela nyingi kuliko Bacca na wote ni wachezaji wazuri sana.
Wazanzibari hapo wamefanya kazi Yao kiuhalali.
 
Usitelee mateso yako kwetu...naona unalazimisha tuteseke...mnaoteseka ni nyie wachambuzi uchwara..
Sawa mkuu ila mkianza pigana misumari kule ukoloni....hatutaingilia[emoji23]
 
Feisal ana la kujifunza kati ya mafanikio binafsi na mafanikio ya club nzima. Piteni hapa na mpige kura kama inatija ktk taifa hili

 
Hivi kumbe basi anisamehe itakua nime ova luku... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hapana mkuu....najua tu una stress za simba

But pole sana ....nahili litapita
 
Back
Top Bottom