Upuuzi wa kishoqer....Ile ni lugha ya dunia
Hebu hiyo "Uruke mpira" iweke kwa Kingereza, maana ww ndiye ulisikia.Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake Cha halali akiwa Hana HIRIZI pia swala la kumshauri.
Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA,
Nakupa pole kama uliwahi kumzingatia huyo pimbiAcheni ushabiki wa kipumbavu unawafanya mdhihirishe mlivyojaza kinyesi kichwani. Samata Mswahili anakwendaje kumwambia Bacca Mswahili Kwa kiingereza? Mwanzo nilikuona bonge la mwanasoka kumbe Mburula tu?
How are you [emoji2772][emoji2772][emoji2772]Hapo ni bila hirizi
Hapo ni bila hirizi
TFF iwaunganishe na taasisi mbalimbali za kuwajengea uwezo wachezaji wa kitanzania.Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake Cha halali akiwa Hana HIRIZI pia swala la kumshauri.
Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA,
Wewe ulisikiaje na hukuwa nao uwanjani...??😛😛Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake Cha halali akiwa Hana HIRIZI pia swala la kumshauri.
Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA,
Pumba tupu!Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake Cha halali akiwa Hana HIRIZI pia swala la kumshauri.
Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA,
we ulisikiaje? hebu sema wewe kwa hicho kiingereza uruke mpira
we ulisikiaje? hebu sema wewe kwa hicho kiingereza uruke mpira
Skip, Bacca akajua kaambiwa pigaHebu wewe tuambie hapa, ruka Mpira kwa Kiingereza ungesemaje?
Mkuu mbinu za mpira kwa sasa zinajumuisha pia kucheza na saikolojia ya mpinzani inawezekana walikua wanacheza na akili za mpinzani tu ili kuwazubaisha wafikirie mpira anapiga samata ingekua ni kweli samata alitaka bacca auluke mpira angemnong'oneza au angemwambia kwa kiswahili lugha ambayo waarabu hawaielewi hata ivyo bacaa ni mpigaji mzuri wa mashuti ya mbali nishamuona mara chache akifanya ivyo anapokua yanga kupiga mnazi kwa umbali ule ni kawaida kumbuka hakimi alipaisha kabisa tena penatiSkip, Bacca akajua kaambiwa piga
Skip, Bacca akajua kaambiwa piga