Bacca jifunze Kingereza kuondoa fedheha kama ya leo

Bacca jifunze Kingereza kuondoa fedheha kama ya leo

Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake Cha halali akiwa Hana HIRIZI pia swala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA,
🤣🤣🤣🤣 apa duniani kuna vituko na vituko vyenyewe
 
Mkuu mbinu za mpira kwa sasa zinajumuisha pia kucheza na saikolojia ya mpinzani inawezekana walikua wanacheza na akili za mpinzani tu ili kuwazubaisha wafikirie mpira anapiga samata ingekua ni kweli samata alitaka bacca auluke mpira angemnong'oneza au angemwambia kwa kiswahili lugha ambayo waarabu hawaielewi hata ivyo bacaa ni mpigaji mzuri wa mashuti ya mbali nishamuona mara chache akifanya ivyo anapokua yanga kupiga mnazi kwa umbali ule ni kawaida kumbuka hakimi alipaisha kabisa tena penati
Hakuwa na HIRIZI tu
 
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA.
Kumbe Samata anaweza kuwa mjinga kiasi hicho? Yaani amwambie Bacca aruke mpira kwa kingereza ili wapinzani wao wasikie ila asimwambie kwa Kiswahili ili wapinzani wao wasisikie.
 
Kumbe Samata anaweza kuwa mjinga kiasi hicho? Yaani amwambie Bacca aruke mpira kwa kingereza ili wapinzani wao wasikie ila asimwambie kwa Kiswahili ili wapinzani wao wasisikie.
Samata kazoea kizungu
 
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA.
Mashabiki wa simba wana ufala fluni hivi, ukiwambia ukweli wanind
 
Issue kubwa ni kuwa Yanga bila hirizi hawawezi kitu! Ndio maana mchezaji yeyote wa Yanga, hawezi kucheza vizuri nje ya Yanga. Wakina Fei, Bangala n.k
Kama hirizi ndiyo inayocheza mpira kwanini na nyie msizitafute hizo hirizi? Unatolea mfano wachezaji waliyondoka vibaya, vipi Mayele aliyendoka Yanga kwa kuachana kwa wema vipi huko alipo hafanyi vizuri?

Usimba na Uyanga ni janga la taifa.
 
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA.
Nimecheka sana. Sidhani kama ni kweli, lakini hata mimi nilishangaa sana yeye kuipiga ile faulo. Sijawahi kuona akikabidhiwa hilo jukumu hata kwenye level ya klabu.
 
Back
Top Bottom