Bacca jifunze Kingereza kuondoa fedheha kama ya leo

Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake Cha halali akiwa Hana HIRIZI pia swala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA,
🤣🤣🤣🤣 apa duniani kuna vituko na vituko vyenyewe
 
Hakuwa na HIRIZI tu
 
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA.
Kumbe Samata anaweza kuwa mjinga kiasi hicho? Yaani amwambie Bacca aruke mpira kwa kingereza ili wapinzani wao wasikie ila asimwambie kwa Kiswahili ili wapinzani wao wasisikie.
 
Kumbe Samata anaweza kuwa mjinga kiasi hicho? Yaani amwambie Bacca aruke mpira kwa kingereza ili wapinzani wao wasikie ila asimwambie kwa Kiswahili ili wapinzani wao wasisikie.
Samata kazoea kizungu
 
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA.
Mashabiki wa simba wana ufala fluni hivi, ukiwambia ukweli wanind
 
Issue kubwa ni kuwa Yanga bila hirizi hawawezi kitu! Ndio maana mchezaji yeyote wa Yanga, hawezi kucheza vizuri nje ya Yanga. Wakina Fei, Bangala n.k
Kama hirizi ndiyo inayocheza mpira kwanini na nyie msizitafute hizo hirizi? Unatolea mfano wachezaji waliyondoka vibaya, vipi Mayele aliyendoka Yanga kwa kuachana kwa wema vipi huko alipo hafanyi vizuri?

Usimba na Uyanga ni janga la taifa.
 
Unajiona una akili sana sio
Sijasema nina akili ila kuanzia thread zinazoletwa kwasasa na coment zake ni Facebook tupu...jf ilikuwa zamani hakika ilikuwa home of great thinker
 
Ushauri huu Kwa beki wa YANGA BACCA hakika tumekiona kiwango chake cha halali akiwa hana HIRIZI pia suala la kumshauri.

Ajifunze ENGLISH COURSE Leo Ile faulo aliambiwa na samata URUKE MPIRA KWA KINGEREZA SI AKAPIGA MOJA KWA MOJA.
Nimecheka sana. Sidhani kama ni kweli, lakini hata mimi nilishangaa sana yeye kuipiga ile faulo. Sijawahi kuona akikabidhiwa hilo jukumu hata kwenye level ya klabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…