Bach of development study.

misorgenes

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Jamani naombeni mnijuze kuhusu course hii ya development study, je inaajira za kutosha tanzania? Na kazi zake ni za aina gani? Na mdogo angu anataka akachukue BADS chuo october.
 
Mwambie akasome akimaliza atajua wapi pa kujishikiza cha msingi awe na cheti as u know kama shahada ni mpya ajira at first zinakuwa za tabu kiasi ila kwa maisha ya sasa kazi c degree yako bali uwezo wa kudeliver au who u know aliye katika channel mfano degree ya sociology,kilimo anafanya kama bankteller nk kuna relation hapo?ila maisha yanaenda
 
kuna ka ukweli flan hapo mkuu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…