misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
Jamani naombeni mnijuze kuhusu course hii ya development study, je inaajira za kutosha tanzania? Na kazi zake ni za aina gani? Na mdogo angu anataka akachukue BADS chuo october.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna ka ukweli flan hapo mkuu..!Mwambie akasome akimaliza atajua wapi pa kujishikiza cha msingi awe na cheti as u know kama shahada ni mpya ajira at first zinakuwa za tabu kiasi ila kwa maisha ya sasa kazi c degree yako bali uwezo wa kudeliver au who u know aliye katika channel mfano degree ya sociology,kilimo anafanya kama bankteller nk kuna relation hapo?ila maisha yanaenda