Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

Aaaah babu ngoja niwashort list mshafika watatu.

He!

Babu hana mashindano....Babu hana mpinzani.....babu hapendi ugomvi..... Babu amejitoa.... Anawatakia heri hao wawili waliobakia. Babu atakuwa anagawa thanks tu!
 
Ha ha ha ha umenichekesha kura tena??? Kweli kazi ipo

Na atakayeshinda atapewa tuzo na zawadi ya kumkata babu kucha za miguuni kwa kutumia meno. babu atakuwa hajaoga kwa siku tatu, na miguu haijaona maji kwa wiki mbili, with love from safari boots!
 
He!

Babu hana mashindano....Babu hana mpinzani.....babu hapendi ugomvi..... Babu amejitoa.... Anawatakia heri hao wawili waliobakia. Babu atakuwa anagawa thanks tu!

Babu huna kamati, babu usijitoe ntaliaaa, da Dena mwambie babu asijitoe. Babu wewe ndio kila kitu wengine masharobaro.
 
Na atakayeshinda atapewa tuzo na zawadi ya kumkata babu kucha za miguuni kwa kutumia meno. babu atakuwa hajaoga kwa siku tatu, na miguu haijaona maji kwa wiki mbili, with love from safari boots!

Mie najiweka pembeni naepusha msongamano
 
Babu huna kamati, babu usijitoe ntaliaaa, da Dena mwambie babu asijitoe. Babu wewe ndio kila kitu wengine masharobaro.

Huyo huwa anaongea vingine vitendo vingine toa mashaka kabisa kwake
 
happy-birthday-gift-basket.jpg

happy birthday Bacha
 
Babu huna kamati, babu usijitoe ntaliaaa, da Dena mwambie babu asijitoe. Babu wewe ndio kila kitu wengine masharobaro.

Na aliyekudanganya babu kajitoa ni nani? Labda uibadili hiyo avatar....LOLZ! Am in love with your avatar!
 
Bacha anasema eti alikuwa haoni keki haya hiyo hapo umeona sasa
 
happy-birthday-gift-basket.jpg

happy birthday Bacha

Mbona pesidei yangu hukunitumia maua wala zawadi.

Nakupiga talaka kwa niaba ya mmeo. Na ukimpata mwingine na awe na kikojoleo kidogo kuliko cha mtoto aliyezaliwa leo, yaani bacha boy!
 
Wivu kwa mara ya pili
 
Back
Top Bottom