Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

mzee hongera kwa kuongeza umri na kumkaribisha israeli ingawaje hujatuambia umefikisha miongo mingapi isje ikawa ni wale wanao ibia miaka ya wenzao maana tumeambiwa na wanaopanga muda wetu wa kuishi kuwa tusizidishe 50
 
Daah asavali nimetulia!

Chetu, babu anaruhusiwa kukutongoza kabla ya bethdei yako? Ili siku nikirusha sredi ya bethdei yako uwe na kamimba kasikotarajiwa. Vimimba vya namna hiyo unakuwahuna kichefuchefu na vinampenda sana baba ya mtoto....maana yake utajifungua Mama Salma Kikwete ajaye.
 
Halafu wewe SHAROBARO si ulikuwa umelala
 

Babu jamani naona aibu jamvini.
 
hongera sana bacha........!

mungu akupe nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…