Five Star boy
Member
- Sep 17, 2020
- 6
- 6
Mkuu asante sana umeelezea kwa ustadiTofauti ni kwamba, wa degree anafundishwa kazi lakini katika manejiment na usikamizi zaidi. pia coverage ya kisomo chake ni Wide sana ili imsaidie kufanya maamuzi na planning. huyu akiingia kwenye ajira anakua kwenye supervision level,
Huyu wa Diploma anakuwa kwenye Utendaji zaidi ( Operational level) na anasubiri maelekezo toka kwa wa degree. huyu anajifunza kazi ditect, na manual work chuoni huwa hajifunzi mambo mengi.
huyu pia anaweza simamia watu wa Certificate na wa Veta hata vibarua wa kutumia nguvu.
Pia naomba unijuze,, je kati ya alie na diploma na yule wa degree nani anapiga practical zaidi? AsanteTofauti ni kwamba, wa degree anafundishwa kazi lakini katika manejiment na usikamizi zaidi. pia coverage ya kisomo chake ni Wide sana ili imsaidie kufanya maamuzi na planning. huyu akiingia kwenye ajira anakua kwenye supervision level,
Huyu wa Diploma anakuwa kwenye Utendaji zaidi ( Operational level) na anasubiri maelekezo toka kwa wa degree. huyu anajifunza kazi ditect, na manual work chuoni huwa hajifunzi mambo mengi.
huyu pia anaweza simamia watu wa Certificate na wa Veta hata vibarua wa kutumia nguvu.
Pia naomba unijuze,, je kati ya alie na diploma na yule wa degree nani anapiga practical zaidi? Asante
Sawa sawa mkuupractical inategemea na facilities za chuo na mtaala wa diploma ulivyo na mtaala wa degree ulivyo
ila mtu wa diploma anaandaliwa kuwa mtendaji zaidi na mtu wa degree kuwa muelekezaji zaidi