Bachelor Degree in Mechanical engineering Vs Diploma in Mechanical Engineering

Five Star boy

Member
Joined
Sep 17, 2020
Posts
6
Reaction score
6
Samahan ndugu zangu,

Napenda tu kujua kwa anayejua hii Mechanical Engineering anisaidie, je mtu aliyesoma degree ya mechanical engineering na aliyesoma diploma ya mechanical engineering kuna tofauti gani kati ya hawa watu.

ASANTENI[emoji120][emoji120]..
 
Tofauti nyake ni B na mwingine D
Iv ukipata B kwenye kiswahili ni sawa na alipeta D
 
Tofauti ni kwamba, wa degree anafundishwa kazi lakini katika manejiment na usikamizi zaidi. pia coverage ya kisomo chake ni Wide sana ili imsaidie kufanya maamuzi na planning. huyu akiingia kwenye ajira anakua kwenye supervision level,

Huyu wa Diploma anakuwa kwenye Utendaji zaidi ( Operational level) na anasubiri maelekezo toka kwa wa degree. huyu anajifunza kazi ditect, na manual work chuoni huwa hajifunzi mambo mengi.

huyu pia anaweza simamia watu wa Certificate na wa Veta hata vibarua wa kutumia nguvu.
 
Simple answer, ni kama Daktari na Nurse.
 
Mkuu asante sana umeelezea kwa ustadi
 
Pia naomba unijuze,, je kati ya alie na diploma na yule wa degree nani anapiga practical zaidi? Asante
 
practical inategemea na facilities za chuo na mtaala wa diploma ulivyo na mtaala wa degree ulivyo

ila mtu wa diploma anaandaliwa kuwa mtendaji zaidi na mtu wa degree kuwa muelekezaji zaidi
 
Back
Top Bottom