Bachelor Degree in Water Resources and Irrigation Engineering

Satumbo

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
77
Reaction score
5
Naomba kupewa ufafanuzi zaidi kuhusu course hii kwa anayefahamu. KARIBU:angry:
 
Mm najua ni moja kati ya course nzur hapa kwetu,ajira zipo kibao tu,wakija wengine watakusaidia kuichambua,but wala ucwe na hofu kuisoma
 
Ni course nzuri sana Haina competition sana Kwenye labour market kwa sasa inatolewa sua na wdmi ubungo,, hakikisha uko vizuri sana kwenye physics,pia kama utachaguliwa ile ya sua,, piga kitabu sana sio lelema though sio ngumu kama utajituma,,all the best!
 

xnks a lot mine
 
Oi janja,! apo wala hujapoteza chance kabisa,,yan we ukimaliza tu kazi hiyo hapo cha msingi misuli tu endapo utachaguliwa hiyo kozi
 
Naomba kupewa ufafanuzi zaidi kuhusu course hii kwa anayefahamu. KARIBU:angry:

Kijana ni kozi ya uhakika Lakin issue za kazi zisikuumize kichwa make haina ushndani kivile na pia inategemeana na kujituma kwako. kwa sasa projects nyingi sana za irrigation zinafanyika hasa kwa nchi zetu name.
 
Kijana ni kozi ya uhakika Lakin issue za kazi zisikuumize kichwa make haina ushndani kivile na pia inategemeana na kujituma kwako. kwa sasa projects nyingi sana za irrigation zinafanyika hasa kwa nchi zetu name.

shukrani saana!!!!!
 
Utahusika humu water supply,waste water and irrigation system kweny design,construction and planning. Kwa maelezo zaidi ingia hapa. Home then tafuta prospectus. Kozi nzur sana iko chuo cha maji,kipo karibu na udsm(coet) ubungo pia ipo na sua
 
bonge la kozi ...kama unaomba kwa second selection jaza mapema userve nafasi yako kijana..
 
na mie nimechagua bachelor of
science hortculture sua kwenye
second round selction lakini
sifahamu hii course ipoje na ajira
zake naomba kwa anayefahamu
anijibu please
 
na mie nimechagua bachelor of
science hortculture sua kwenye
second round selction lakini
sifahamu hii course ipoje na ajira
zake naomba kwa anayefahamu
anijibu please

m pia ni kama ww ila nimefanya kukopi na kupaste hii, vp una uelewa tofaut???
Horticulturists apply their knowledge, skills, and technologies used to grow intensively produced plants for human food and non-food uses and for personal or social needs. Their work involves plant propagation and cultivation with the aim of improving plant growth, yields, quality, nutritional value, and resistance to insects, diseases, and environmental stresses. They work as gardeners, growers, therapists, designers, and technical advisors in the food and non-food sectors of horticulture.

Horticultural scientists focus on the research that underpins horticultural knowledge, skills, technologies, education, and commerce. Horticultural science encompasses all of the pure sciences – mathematics, physics, chemistry, geology, and biology – as well as related sciences and technologies that underpin horticulture, such as plant pathology, soil science, entomology, weed science, and many other scientific disciplines. It also includes the social sciences, such as education, commerce, marketing....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…