Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kupewa ufafanuzi zaidi kuhusu course hii kwa anayefahamu. KARIBU:angry:
Ni course nzuri sana Haina competition sana Kwenye labour market kwa sasa inatolewa sua na wdmi ubungo,, hakikisha uko vizuri sana kwenye physics,pia kama utachaguliwa ile ya sua,, piga kitabu sana sio lelema though sio ngumu kama utajituma,,all the best!
Naomba kupewa ufafanuzi zaidi kuhusu course hii kwa anayefahamu. KARIBU:angry:
na mie nimechagua bachelor of
science hortculture sua kwenye
second round selction lakini
sifahamu hii course ipoje na ajira
zake naomba kwa anayefahamu
anijibu please