tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
siku hizi watu wanajiajiri wenyewe ,ukimaliza chuo unaomba mkopo unaazisha biashara.
sasa wewe unasoma HR utakuja kumfanyia nani usahili?
Mleta mada,
Hakuna ofisi ya serikali/shirika la serikali au taasisi ya serikali ambayo haina kitengo/idara/kurugenzi ya raslimali watu.
Ofisi nyingi za binafsi uwa zina outsource kwa makampuni binafsi kufanya kazi za usahili ili kupata wafanyakazi wao.
Human resource management ni taaluma nzuri na yenye fursa rukuki za ajira (kuajiriwa na kujiajiri).
Jambo la msingi ni uwe umeipenda, uwe tayari kusoma taaluma hiyo kwa bidii na uielewe kwa undani, kila kitu kitakuwa safi.
"Akili za kuambiwa, changanya na zako" by Jakaya kikwete.
we ni mwanaume wa kweli sio hao wanaompiga majungu huyo jamaa, kama hawawezi kutoa ushauri ni bora wakae kimya na sio kuongea mashudu.Jaman ipo pale udsm kuna bcom in human resource management. So I believe hata sehemu nyingine itakuwepo. Mi nakushauri usome tu,if is what you want in life. For me I love accounting and am taking bcom in accounting am in my final year. So take what you passionate to do in life,as long as course ipo basi ajira zipo ndio maana imekuwepo. Do up your best and the best will come to you. Let God help u to take wise decisions.
Mbona una akili mbovu hivyo? Kozi ya kidada maana yake nini? Ndiyo nyie mkiingia mtaano mnachanganyikiwa kwa kamini kozi zenu ni bora kuliko nyingine...hakuna kozi duniani isiyo na ajira kabisa, mvivu wa kufikiri tu ndiye anayeweza kuropoka kama hakuna akira kabisa!!
Siku zote mfuko mmoja wa sukar haubadilishi ladha ya bahari.. Nawashukuru sana wadau mlionielewa na kunishauri Mema.. ila pia ukishinda mbio usijisifie.. msifie na yule anayekukimbiza.. wote pia mlioibeza hii thrds nawashukuru pia..
kwa hiyo kazi ya HR ni kufanya usahili? Kama hujui kitu tulia siyo unatapika tu humu.