Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

Soma hiyohiyo kisha uombe Masters China, Israel huko au Canada na Marekani. Kama utabahatika kupata kazi huko hutataka kurudi tena hapa, labda serikali ijue uwepo wa raia wao huko wakunyakue uje kuwa associate professor hapa nchini. Na ndo hapo faida ya kusoma utaiona
 
Ko yenyew ina soko kwa sasa?
Mdogo wangu kwa dunia ya sasa ukisoma kwa kuangalia soko la kuajiriwa utapotea sana.
Soma kitu ambacho una passion nacho ili hata usipoajiriwa utakuwa na uwezo wa kucreate projects zako mwenyewe za mtaani na kuingiza pesq za kujikimu.
Sasa kwa hizo kozi ulizozitaja hapo zote zina utata kwenye kupata ajira na hata kujiajiri pia ni ngumu kwa mazingira ya kibongo.
Ila kama hauna options zingine zaidi ya hizo basi somea architecture angalau utakuwa unachora na unauza ramani za nyumba mitaani maisha yatasonga
 
Sa nisome course ipi? me Niko form six CBG
Kwenda advance kwa hizo Comb ulikua umeyakanyaga lakini chakukushauri Soko limeyumba sana haswa kwenu. Soma unachoweza kufanya hata usipo ajiriwa ila muhimu utatafuta ujuzi wa kiufundi pia.
 
Kijana kasome Uhasibu au IT kama vigezo vinaruhusu.
Afadhali umeuliza mapema.

Kama hizipendi hizo kozi mbili anza kuzipenda sasa.
 
Sawa ahsante kwa ushauri wenu ningependa kujua kati ya course ya. environmental health, petroleum chemistry, health information systems (HIS) na bachelor in laboratory science ipi ni Bora kuliko zingne?
 
Back
Top Bottom