Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

Kwenda advance kwa hizo Comb ulikua umeyakanyaga lakini chakukushauri Soko limeyumba sana haswa kwenu. Soma unachoweza kufanya hata usipo ajiriwa ila muhimu utatafuta ujuzi wa kiufundi pia.
Sasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??
 
Kila la kheri katika masomo yako
 
Mwendazake alivuruga hii fursa kwa mihemko na makampuni ya uchimbaji
Ndio maana kila mwekezaji mkubwa akitaka kuja anacheki kama kuna kwenye kesi mahakama za nje, wakiona historia, wanakula kona kwingine
 
Soma kozi za ndani kama Architecture maana ujenzi umeshamiri kila kona au IT kama Networking, Developer au Cyber ndio mpango mzima kwenye mabenki, makampuni ya simu au NGOs....
 
Sawa ahsante kwa ushauri wenu ningependa kujua kati ya course ya. environmental health, petroleum chemistry, health information systems (HIS) na bachelor in laboratory science ipi ni Bora kuliko zingne?
 
Sasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??
Mkuu achana na hao walioweka hizo combination, watu wanachokueleza hapa ni maisha halisi ya mtaani, jinsi mtaa unavyozungumza.

Narudia tena soma Uhasibu au IT kama sifa zitaruhusu. Tena zisome kwa moyo mmoja. Usiogope idadi ya wahitimu kuwa wengi au vyuo vingapi vinatoa hizo kozi.

Hizi taaluma kila sehemu zinahitajika. Hadi mochwari.
 
We jichanganye tu! Nenda Kasome architecture.
 
Sasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??
Ko Ni Nini?
 
Mkuu achana na hao walioweka hizo combination, watu wanachokueleza hapa ni maisha halisi ya mtaani, jinsi mtaa unavyozungumza.

Narudia tena soma Uhasibu au IT kama sifa zitaruhusu. Tena zisome kwa moyo mmoja. Usiogope idadi ya wahitimu kuwa wengi au vyuo vingapi vinatoa hizo kozi.
Hizi taaluma kila sehemu zinahitajika. Hadi mochwari.
Sawa je nikisoma health information systems (HIS) Kuna shida yoyote?
 
Kozi nzuri, ila angalia waajiri wangapi wanaihitaji hiyo taaluma.

Ikitokea hujaajiriwa utaweza kujiajiri kupitia hiyo taaluma ulonayo hasa katika mazingira yetu haya?

Au utajiajiri (ambalo ni jambo zuri zaidi) katika shughuli yoyote na ibaki kuwa chuo ulienda kuelimika na kupata exposure!
 
Vp kuhus food science inadeal na Nini?
 
Back
Top Bottom