wakuishiishi
Member
- Dec 27, 2024
- 12
- 13
- Thread starter
-
- #21
Sasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??Kwenda advance kwa hizo Comb ulikua umeyakanyaga lakini chakukushauri Soko limeyumba sana haswa kwenu. Soma unachoweza kufanya hata usipo ajiriwa ila muhimu utatafuta ujuzi wa kiufundi pia.
Kila la kheri katika masomo yakoSasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??
Sawa ahsante kwa ushauri wenu ningependa kujua kati ya course ya. environmental health, petroleum chemistry, health information systems (HIS) na bachelor in laboratory science ipi ni Bora kuliko zingne?Soma kozi za ndani kama Architecture maana ujenzi umeshamiri kila kona au IT kama Networking, Developer au Cyber ndio mpango mzima kwenye mabenki, makampuni ya simu au NGOs....
AmenKila la kheri katika masomo yako
Mkuu achana na hao walioweka hizo combination, watu wanachokueleza hapa ni maisha halisi ya mtaani, jinsi mtaa unavyozungumza.Sasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??
We jichanganye tu! Nenda Kasome architecture.Sawa ahsante kwa ushauri wenu ningependa kujua kati ya course ya. environmental health, petroleum chemistry, health information systems (HIS) na bachelor in laboratory science ipi ni Bora kuliko zingne?
Ko Ni Nini?Sasa Kwan walioweka hizo combination hawana akili?Naimani wanaelewa wanachokifanya ko kama CBG Haina course nying nzuri kwanini bado ipo? Naimani hata ukisoma CBG utapata kazi wangap wamesoma CBG na niwaajiriwa pia wengne wamejiajir??
Sawa je nikisoma health information systems (HIS) Kuna shida yoyote?Mkuu achana na hao walioweka hizo combination, watu wanachokueleza hapa ni maisha halisi ya mtaani, jinsi mtaa unavyozungumza.
Narudia tena soma Uhasibu au IT kama sifa zitaruhusu. Tena zisome kwa moyo mmoja. Usiogope idadi ya wahitimu kuwa wengi au vyuo vingapi vinatoa hizo kozi.
Hizi taaluma kila sehemu zinahitajika. Hadi mochwari.
Lab scienceSasa kama ni hvo nisome course ipi kati ya bachelor in applied geology, bachelor in laboratory science na bachelor in architecture??
Kozi nzuri, ila angalia waajiri wangapi wanaihitaji hiyo taaluma.Sawa je nikisoma health information systems (HIS) Kuna shida yoyote?
Vp kuhus food science inadeal na Nini?Kozi nzuri, ila angalia waajiri wangapi wanaihitaji hiyo taaluma.
Ikitokea hujaajiriwa utaweza kujiajiri kupitia hiyo taaluma ulonayo hasa katika mazingira yetu haya?
Au utajiajiri (ambalo ni jambo zuri zaidi) katika shughuli yoyote na ibaki kuwa chuo ulienda kuelimika na kupata exposure!