Mgoroko
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 769
- 446
Punguza jazba mkuu.Unajua tulioa tunahangaika sana, tunarisk na kusacrifice Mambo mengi sana ili kutunza familia then anatokea mtu anakugongea mkeo kwa kisingizio mkeo kajilengesha! Aisee ibaki hivi hivi tu sijui kinachoendelea upande wa pili ila siku nikijua sijui itakuaje! Tungekua tunakaa mtaa mmoja ningekufanya kitu hamna Aisee!