Punguza jazba mkuu.Unajua tulioa tunahangaika sana, tunarisk na kusacrifice Mambo mengi sana ili kutunza familia then anatokea mtu anakugongea mkeo kwa kisingizio mkeo kajilengesha! Aisee ibaki hivi hivi tu sijui kinachoendelea upande wa pili ila siku nikijua sijui itakuaje! Tungekua tunakaa mtaa mmoja ningekufanya kitu hamna Aisee!
Mimi nakushauri nenda kamuombe msamaha jamaa nyumbani kwake akiwepo na mkewe,kuwa hamtaludia tena.Wakuu za majukumu.
Awali ya yote niseme tu kuwa nilishaapa kutotongoza mke wa mtu cozi najua mke wa mtu sumu.
Basi ni kama mwezi umepita, kuna siku mwanamke mmoja ameolewa, nimemzoea kama shemeji. Nilikutana nae meneo ya baa, alikuwa amejibust kidogo, aliponiona alinifuata na kunikumbatia huku akichezesha kiuno. Masikini mcroun Mimi, masai alisimama nikabaki nafikiria namna ya kujinasua pale. Ilikuwa kigiza ndo kinaingia lakini niliogopa mno licha ya midadi
Aah Mkuu, kwan ulikua unasoma kwa kufanya skimming, mbona jamaa kaeleza kwamba alimtoa kwa block kabsaUlim block alafu tena akapiga mkaongea[emoji848]
Mbikiriwa mtarajiwa [emoji38][emoji38][emoji38]Tatizo la wabongo ni tunatiana hofu zaidi kuliko kusaidiana. Nipe Suluhu mkuu
Mzigo alikula mara moja. Soma vizuri mkuu.Mkiambiwa wanawake wenu wanatongoza wanaumeb mnabishaa ...... Mwanamke hathaminiki muwe mnaelewa haijalishi ni mama yako au laa....! Kama mama yako ndio ametulia kamuulize baba yako makubwa anayo pitia na huyo mama yako......as long as wewe ni mwanaume hakikisha unasimama kidete kuutetea uanaume wetu ..... Hayo mambo ya kupakana mafuta kisa mkeo utafila wanaume wenzio wangapi......? Narudia tena ukifumania jua mkeo ndio anatongoza wanaume.
NB
Wewe jamaa ulifeli point moja tu alivyo jileta ilitakiwa umnyandue chap kabla mambo hayajawa mengi angepunguza munkali Wa kukutafuta .....Mwanamke ukimkataa ndio anakua kichaa na anaongeza juhudi .
Yaani ilitakiwa umsugue vibaya vibaya ili akuone unashow mbovu akuache ...ila kitendo cha kumkatalia ndio kinakupa mmateso sasa ona sasa marinda yako yapo rehani na mzigo haukula hahahahaja
Hahaha!!! Nacheka kama mazuri...Marinda yako yapo rehani, anza kutembea na Vaseline
Ushauri mzuri kuwahi kuupata. Sitajipeleka kuomba msamaha. Kwanza alivyokuja hakutaka kunipa nafasi ya kujitetea ili ajue nasemaje juu ya hiyo insu. Pili, yapo mazingira yanayoashiria kwamba jamaa hana uhakika wa kuwa tayari nimeshamchapia au la ila alikuwa anaongea kubahatisha. Sababu alinambia nina muda mrefu natoka na mkewe kitu ambacho siyo sahihi. Yaani ikizidi sana wiki tatu au mwezi. Chengine, msg sijawahi mtumia mwanamke wala kumpigia cm. Hivyo mazingira nayoyaona ni kuwa alimfuma anaongea na cm au aliona zile sent msg anazonitumia mwanamke.Mkuu mi nakushauri achana na hao wanaokwambia uende kumuomba msamaha jamaa, aisee atakufanya kitu mbaya hata kukudhuru kabisa. Hakunaga uungwana kwenye kuchapiwa wewe asikudanganye mtu.
We kausha tu na uyo mke wake we mteme kabisaa kama inawezekana hama kabisa huo mtaa. Na jamaa akizidi kukufatilia mkatae mwambie hutoki na mkewe kataa katakata, ruka futu 100.
Kujilengesha kwa jamaa eti umuombe msamaha, ni kumpa linda jamaa bila hata kuhangaika kwanza atajua we muoga muoga na atakufanya mbaya tu. Kaa mbali nao yeye na mkewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ameshapajua mpaka getini kwako, imeishakaa vizuri, yajayo yanafurahisha.
Hakikisha ghetto una kikopo cha mafuta mgando kikae standby. Wasije wakakuumiza ukashindwa kutupa mrejesho humu jukwaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mi nakushauri achana na hao wanaokwambia uende kumuomba msamaha jamaa, aisee atakufanya kitu mbaya hata kukudhuru kabisa. Hakunaga uungwana kwenye kuchapiwa wewe asikudanganye mtu.
We kausha tu na uyo mke wake we mteme kabisaa kama inawezekana hama kabisa huo mtaa. Na jamaa akizidi kukufatilia mkatae mwambie hutoki na mkewe kataa katakata, ruka futu 100.
Kujilengesha kwa jamaa eti umuombe msamaha, ni kumpa linda jamaa bila hata kuhangaika kwanza atajua we muoga muoga na atakufanya mbaya tu. Kaa mbali nao yeye na mkewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna manzi alipangiwa chumba nyumbani kwetu baada ya kuzalishwa na huyo jamaa ambae alikuwa mganga tapeli..
jamaaa alikuwa mtu wa kusafiri hata miezi 2 .
nikaanza mazoea na demu wake maana kalikuwa kadogo bado kazuri ila kamezalishwa tuu!
sababu kipindi hicho nilikuwa majalala mtu wa kushinda home tuu ilikuwa rahisi kuanza kula mzigo!
kigezo ilikuwa nambeba mtoto nambembeleza akilala nampeleka kwa mamaake ikawa ndo gia nikiingia nakula bao moja chapu!nikitoka humo nanuka kikwapa tuu..
siku hiyo sikujua km mjita amerudi,
nimeenda nikaanza kugonga mlango!
hahahaha acha nijicheke tuu.
mlango ukafunguliwa na demu afu akanikonyeza kwa haraka nikamuomba chumvi huku naliona na lijamaaa lipo kifua wazi linatokezea!!
hilo la kuomba chumvi saa tisa mchana jamaa alipata walakini !
niliondoka hapo ila baadae jamaa alitafuta alinichimba biti moja matata sana!wala hakuongea kwa kupanic au ku shout polepole ila sindano iliingia na ule utoto bado nilikuwa nao !