Bachelor mimi nimedakwa na mke wa mtu

wanawake tuache hii tabia ya kutoka nje ya ndoa zetu

hahahaha nimecheka kama mazuri,,,sioni ukiwa salama mkuu maana ulishindwa kuzuia tamaa zako,,,ninachojua mwanaume habakwi ,,so wewe uliruhusu tamaa zikutawale

tafuta wazee wakakuombee msamaha na uache hiyo tabia maana hakuna usalama wa marinda yako

pole sana
 
unajifariji eeeh, mpe ushauri mkuu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimewaza tu jamaa amepajuaje kwake, mjini mipango na hivi ndugu anaoneka muoga itakua anajazwa upepo.. Mke ya mtu inazurura kila bar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu mwenye mali ghafla kapajua nyumbani kwa bwana mdogo
 
Akishindwa kuchukua ushauri huu basi tena
 
maisha magumu sana, acha jamaa zimtoke hela kisa utamu

hahahhaha
 
Mkuu yameisha... Tuko poa na jamaa japo ana kinyongo kwa mbali. Tulikutana kwenye msiba wa jamaa etu na Mimi na yeye tulikuwa washiriki wa karibu mno mpaka tulijikuta tunapiga stori na kucheka. Hivyo mimi mwenyewe nimeapa kutokugusa tena mke wa mtu
 
Nunua kilainishi cha KLY au KY gel kisha weka akiba ndani kwako ukikosa nunua hata mafuta ya baby care,vasselin au mafuta ya nazi aina ya parachute uweke ndani ili siku ukija kukamatwa nae uliwe kiboga bila ga kusikia maumivu sana. Ni hayo tu.
 
Omba Mungu. Kuna vichaa wengi unawakuta barabarani unawaonea huruma,trust me,hakuna hats chizi mmoja ambaye amekuwa chizi kwa bahati mbaya.ukiiba make was MTU akakupiga Nguni au panga shukuru,ila akikuangalia tu akaongea na wewe akaondoka kwa amani,jitafakari. Nenda kampigie goti haraka.
 
Kuna issue zmekua sio za kuomba ushauri JF, 85% Ni ushauri unaokera imagine mkubwa mzma anakushauri ujiandae kuf*rw. yaan hapo kamaliza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu yameisha... Tuko poa na jamaa japo ana kinyongo kwa mbali. Tulikutana kwenye msiba wa jamaa etu na Mimi na yeye tulikuwa washiriki wa karibu mno mpaka tulijikuta tunapiga stori na kucheka. Hivyo mimi mwenyewe nimeapa kutokugusa tena mke wa mtu
Mungu akusaidie kushinda majaribu
 
Mkuu yameisha... Tuko poa na jamaa japo ana kinyongo kwa mbali. Tulikutana kwenye msiba wa jamaa etu na Mimi na yeye tulikuwa washiriki wa karibu mno mpaka tulijikuta tunapiga stori na kucheka. Hivyo mimi mwenyewe nimeapa kutokugusa tena mke wa mtu
Don't compromise with this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…