Msaada wadau. Hivi bachelor holder wa Engineering ni Mhandisi. Je Sisi wenye Diploma ni kina nani? Maana kwa Kiingereza ni Technician je Kiswahili chake? Pia waliotoka VETA ni kina nani? Maana nadhani kwa kiingereza ni Artisans, Je kiswahili chake?
Ni noma napata shida hapa.