Bachelor ni Mhandisi, Je, Diploma na Veta ni nani na nani?

Bachelor ni Mhandisi, Je, Diploma na Veta ni nani na nani?

Arsenalist

Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
74
Reaction score
46
Msaada wadau. Hivi bachelor holder wa Engineering ni Mhandisi. Je Sisi wenye Diploma ni kina nani? Maana kwa Kiingereza ni Technician je Kiswahili chake? Pia waliotoka VETA ni kina nani? Maana nadhani kwa kiingereza ni Artisans, Je kiswahili chake?

Ni noma napata shida hapa.
 
Technician ni Fundi mchundo
Artisan ni Fundi
 
Back
Top Bottom