Bachelor of Accountancy and Finance (BAF)

Wakuu uhasibu na Auditing ipi ipo poa?
 
Sifahamu tatizo lakini Wahitmu wa Mzumbe siyo Vilaza unless huyu ni exception case na hiyo BAF yake, otherwise waliosoma ADCA wako juu sana ki uwezo. MUCOBUS ni vilaza wa kupitiliza

waxomi kudharauliana co mpango,how camz unawaita wenzio vilaza?what so special in you?MAMBO YA O-LEVEl acheni.,..
 
kwa tanzania ya sasa soko lisilosumbua kwa ajira mtaani ni kujiajiri tu! yani hata kama iyo BAF yako umetoka nayo oxford u havard kwa tz yasasa unaweza ukaaa mtaani kama kawa tu, bila kumjua mtu yala kwako, mana hata watu wa sociology tu skuizi ni ma bankataller, mtu anasoma sociology na unamkuta loan officer bank fulani! yani kazi nikujuana sana mkuubwa, swala la chuo,faculty,gpa n.k hazipo mkuu skuizi, vijana wengi wamerudi kutoka nje na vyeti vyao sasa utawaonea huruma, nina jamaa nimefanyanae interview juzi katI ana BAF ya mzumbe na pass nzuri sana kwenye bank fulani hapa mjini dsm lakini kaukosa hata uo U bank taller na wakati watu wa ir,sociology tu wamepata sasa ndo ujiulize hapo.
 
BAF wana soko kubwa sana! Wewe uliyesoma B.com Accounting tu utasaga sana kiatu na wanakaa sana mtaani kwani kazi za mtu wa B.com Accounting zinafanywa hata na secretary ambaye ana certificate ya usecretary tu na tena hao watu ulaya ndiyo sahau kupata kazi. Mi nashauri mhasibu yeyote kwa sasa soma finance au vyote unakuwa na soko.
 
Ni kweli mkuu siku hizi utajili namba moja ni kufahamiana na watu,bora wakuone unajipendekeza kuliko ukiwa mkimya inakula kwako ujanja ni kujipendekeza kwa watu mpe gwala kila mtu!huwez kosa kazi ukiwa mkimya ili wakuone mstaarabu utazunguka na vyet vyako mpaka vitachanika kwa kuvishikashika na kazi hupati.
 

acha kuwapumzikia great thinkers unasoma coz yenye soko nabado kitaa utakaa sana na unaweza soma coz isiyo na soko kubwa ila ukamake life faster vitu vyaa kuzingatia ni
1.unamjua nani?
2.unatumiaje uwezo wa akili yako?
3.unauhusiano gan na mazingira uliyopo?

Ukiweza tambua vitu ivyo hakika hautaangaika sana
 
Life faster? Kufanikiwa ktk maisha haitegemei sana shule au wewe ulimaliza lini shule au ulisoma nini. Mi nilimanisha kupata kazi (soko la ajira). Siku hizi kazi nyingi za accounting zimewekwa kwenye computer (mfano tally, etc) ambapo haihitaji utalaamu kuingiza entry, ila anahitajika mtu wa finance kuweza kuchambua.
 

mkuu kwa techology saiv almost profesional zote ziko replaced by mashine japokua zinahitaji mtaalam kusimamia
 

Kila kozi ina vilaza wake.Hata udaktari pia vilaza wapo.Wewe tu na jitihada zako na uwezo wa ku-integrate theory into practical.
 
BAF ipo mzumbe,,muccobs,,ardh.,,KIU,,,RUAHA,,,ST JOHN,,,na kuna faculty nyingne ambazo application zake na qulification zake ni kama baf,, mfano bcom ya udsm na udom,,,bankin & finance na accountn ya ifm,,,IAA,,na nyinginezo nying,,,,,,,,,,,Na huwa kama mmechunguza qulufication requirements nying zinataka aliyesoma acoounts au any equivalent course kama BBA,,,AU zile bcom nyingne apart 4rm bcom a/c,,,,we wana BAF MPO WENG SANA KITAA,,,Na huu ndo ukwel na weng bado wanasota ktaa coz undugu umejaa unakuta kibabu kimekalia kit ofcn hakitak kuachia kaz au kina ndugu yake yupo certficate college flan aje kuchukua hyo position,,,,,DAAAAAAH
 
BAF inapatikana Mzumbe na MUCOBUs..
Kwahiyo wanaosoma kwenye hivi vyuo wote ni vilaza?

mkuu vile vile na ardhi university ipo, ilianzishwa 2010 na wanatarajia kupeleka wahitimu kwenye soko la ajira huu mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…