Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifahamu tatizo lakini Wahitmu wa Mzumbe siyo Vilaza unless huyu ni exception case na hiyo BAF yake, otherwise waliosoma ADCA wako juu sana ki uwezo. MUCOBUS ni vilaza wa kupitiliza
Ni kweli mkuu siku hizi utajili namba moja ni kufahamiana na watu,bora wakuone unajipendekeza kuliko ukiwa mkimya inakula kwako ujanja ni kujipendekeza kwa watu mpe gwala kila mtu!huwez kosa kazi ukiwa mkimya ili wakuone mstaarabu utazunguka na vyet vyako mpaka vitachanika kwa kuvishikashika na kazi hupati.kwa tanzania ya sasa soko lisilosumbua kwa ajira mtaani ni kujiajiri tu! yani hata kama iyo BAF yako umetoka nayo oxford u havard kwa tz yasasa unaweza ukaaa mtaani kama kawa tu, bila kumjua mtu yala kwako, mana hata watu wa sociology tu skuizi ni ma bankataller, mtu anasoma sociology na unamkuta loan officer bank fulani! yani kazi nikujuana sana mkuubwa, swala la chuo,faculty,gpa n.k hazipo mkuu skuizi, vijana wengi wamerudi kutoka nje na vyeti vyao sasa utawaonea huruma, nina jamaa nimefanyanae interview juzi katI ana BAF ya mzumbe na pass nzuri sana kwenye bank fulani hapa mjini dsm lakini kaukosa hata uo U bank taller na wakati watu wa ir,sociology tu wamepata sasa ndo ujiulize hapo.
BAF wana soko kubwa sana! Wewe uliyesoma B.com Accounting tu utasaga sana kiatu na wanakaa sana mtaani kwani kazi za mtu wa B.com Accounting zinafanywa hata na secretary ambaye ana certificate ya usecretary tu na tena hao watu ulaya ndiyo sahau kupata kazi. Mi nashauri mhasibu yeyote kwa sasa soma finance au vyote unakuwa na soko.
Life faster? Kufanikiwa ktk maisha haitegemei sana shule au wewe ulimaliza lini shule au ulisoma nini. Mi nilimanisha kupata kazi (soko la ajira). Siku hizi kazi nyingi za accounting zimewekwa kwenye computer (mfano tally, etc) ambapo haihitaji utalaamu kuingiza entry, ila anahitajika mtu wa finance kuweza kuchambua.acha kuwapumzikia great thinkers unasoma coz yenye soko nabado kitaa utakaa sana na unaweza soma coz isiyo na soko kubwa ila ukamake life faster vitu vyaa kuzingatia ni
1.unamjua nani?
2.unatumiaje uwezo wa akili yako?
3.unauhusiano gan na mazingira uliyopo?
Ukiweza tambua vitu ivyo hakika hautaangaika sana
Life faster? Kufanikiwa ktk maisha haitegemei sana shule au wewe ulimaliza lini shule au ulisoma nini. Mi nilimanisha kupata kazi (soko la ajira). Siku hizi kazi nyingi za accounting zimewekwa kwenye computer (mfano tally, etc) ambapo haihitaji utalaamu kuingiza entry, ila anahitajika mtu wa finance kuweza kuchambua.
BAF inapatikana Mzumbe na MUCOBUs..
Kwahiyo wanaosoma kwenye hivi vyuo wote ni vilaza?
Hata Ardhi mkuu.
Nakubali vilaza wa BAF wapo, maana nakumbuka kuna jamaa mmoja alimaliza akapata kazi lakini aliishia kufukuzwa kila alipoenda kufanya kazi mpaka akamua kwenda huko wanakoandika madokezo na vocha tu (serikalini). Uzuri wa BAF ni kuwa wanafundishwa uhasibu uliojaa how? why? what? etc, wakati hao Bcom wao wanfundishwa vitu vichache kiasi kwamba shule ya Mzumbe inakua ngumu kidogo na inajikita kwenye uhasibu wote kwa 100% na hata kama ukienda kusoma nje basi unapeta tu maana vingi ni marudio.
Wakuu uhasibu na Auditing ipi ipo poa?
Wakuu uhasibu na Auditing ipi ipo poa?
BAF inapatikana Mzumbe na MUCOBUs..
Kwahiyo wanaosoma kwenye hivi vyuo wote ni vilaza?
Hata Ardhi mkuu.
BAF ya Ardhi university noma
I heard tht lyk 11/13 wamedisco kuingia 2nd year !!