Bachelor of accounting vs bachelor degree in banking and finance

Bachelor of accounting vs bachelor degree in banking and finance

kimanga91

Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Kama heading inavyojieleza, ninaomba kufahamishwa kuhusu kozi hizo mbili, juu ya upatikanaji wa ajira na kujiajiri pia, vile vile msuli wake upo vipi kwa chuo cha IFM.

Natanguliza shukrani.
 
Nadhani ukishasema Banking and Finance, tayari umeshajibana... your largest employer ni banking institution. Frankly speaking, karibu kazi zote ambazo mtu wa Banking nd Finance anaweza ku-apply, mtu wa Account nae anaweza lakini si kazi zote ambazo mtu wa account anazo apply, mtu wa banking nd finance nae anaweza... in particular, you can't work as an accountant unless iwe ni kwa magumashi. In addition, while every commercial office needs an accountant, we don't always need you with ur banking and finance docs.
 
accounting mpango mzima kijina soma siku hizi ajira tunakuna nazo kama bahati then you priority should be self employment!!!!!
 
Back
Top Bottom