King Mutesa
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 227
- 141
Wanajamii naomba mnifahamishe..!
Kusoma hii kozi ni lazima uwe Mwalimu.!?
Kusoma hii kozi ni lazima uwe Mwalimu.!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si lazima..
Shukrani kaka kinduluuma maa mtaa ununishushia hadhi kabisa mimi kuwa mwalimu.......!
usihofu kuwa walimu kwa sababu ni fani ambayo imetoa watu wengi ambao wanafanya kazi tofauti na fani ya ualimu waliyoanzia. Cha msingi ni determination na na usikate tamaa. Tena ukiwa chuo piga msuri wa kufa mtu ili kujiwekea mazingira mazuri ambayo ukiwa kazini inakupa diversity ya opportunities. hapa nina maanisha tengeneza GPA iwe nzuri at least upper second kuna mascholarship ya kufa mtu kwa wale wasiopenda kulaza damuShukrani kaka kinduluuma maa mtaa ununishushia hadhi kabisa mimi kuwa mwalimu.......!