Ebana dogo,hii kitu ni nzuri sana kama utafanikiwa kugraduate salama.unaweza kuajiriwa kwenye ol issues relating to financial sectors kama banks,insuarance companies,security markets etc.vilevile kwenye viwanda,madini,nishati kwenye sector ya umma kama mchumi wa serikali etc..kwa kifupi degree ya uchumi inakuandaa kufanya kazi kwenye managerial position au kwa lugha nyingne wanasema economists ndo decision makers kwenye organizations mbalimbali.well,kwa hapa udsm kila mwaka BOT huwa wanatoa nafasi tano za ajira kwa watu wanaokua wamefanya vizuri kwenye hii program,vlevile Crdb bank na Exim bank nao huwa wanachukua idadi flan ya graduate wa hii kozi kila mwaka..mwaka wa kwanza utasoma micro¯o-economics1&2,statistics{hii huwa inasumbua watu wengi na weng huwa wanasupp,mtaisoma pamoja na mwaka wa nne wa COET},research methodology,mathematics for economists,comm skills for social scientists,development studies1&2,princple of Accounting1&2,critical thinking and argumentation,computer application..so jipange 2,mambo co magumu wala marahis kivle,sisi tumeanza mwaka wa kwanza 126 ila bahati mbaya 13 wameliwa vichwa..otherwise karibu sana pale department of economics,utakutana na prof ossoro,dr karamagi,dr nyoni,dr mashindano,dr mkai,dr joel,dr mtui,prof mkenda,prof ndenshau na wengne kibao.kikubwa ni wewe kuwa makini na shule 2..kumbuka mkuu wako wa nchi alitoka pale na GPA ya 2.3 hayo maneno watakuambia wakati wa kukufanyia registration kama kukutisha 2..over