Bachelor of arts in economics

Bachelor of arts in economics

faraji yassin

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
243
Reaction score
24
msaada jamani kwa wale wanaoijua hii programme/course inahusika na nini na ajira yake ikoje kama mtu akiisoma udsm
 
Niahidi kwanza kama utanibeba ili nikupe utamu wa hyo kitu!!
 
iko poa ukifaulu vzuri umeula.ngoja waje wataalam kama Perry
 
ninachojua uchumi ni general , yani unagusa sekta zote za biashara,tegemea kuwa economic analyst yani kama mtabiri wa maswala ya kiuchumi katika kampuni, financial advisor lakini hii utashirikiana na watu wa BAF, Marketing prospecting kama mtabiri wa masoko..bwana mipango na fani zinazofanania na hizo , kwa maelezo zaidi jaribu ku google "what can i do with a B.A in economics"
 
bro nimekuelewa sana ase nashukuru sana bro
 
Hutojutia kusoma hii course lakini be sure huogopi calculus na sio mvivu kufikiri.

Ushauri wangu usisome course kwa sababu inalipa bali sikiliza nini moyo unataka.
 
Hutojutia kusoma hii course lakini be sure huogopi calculus na sio mvivu kufikiri.

Ushauri wangu usisome course kwa sababu inalipa bali sikiliza nini moyo unataka.

nimekuelewa bro lakin cjaelewa calculus
 
Umesoma hesabu walau BAM? Vinginevyo utaona uchumi mgumu sana. Kama hukusoma anza kujifunza integration nadifferentiation.
 
Usitishike kuna macro na micro economics yan micro ndo hesabu kwa sana ila macro kama unanawa vile
 
Ebana dogo,hii kitu ni nzuri sana kama utafanikiwa kugraduate salama.unaweza kuajiriwa kwenye ol issues relating to financial sectors kama banks,insuarance companies,security markets etc.vilevile kwenye viwanda,madini,nishati kwenye sector ya umma kama mchumi wa serikali etc..kwa kifupi degree ya uchumi inakuandaa kufanya kazi kwenye managerial position au kwa lugha nyingne wanasema economists ndo decision makers kwenye organizations mbalimbali.well,kwa hapa udsm kila mwaka BOT huwa wanatoa nafasi tano za ajira kwa watu wanaokua wamefanya vizuri kwenye hii program,vlevile Crdb bank na Exim bank nao huwa wanachukua idadi flan ya graduate wa hii kozi kila mwaka..mwaka wa kwanza utasoma micro&macro-economics1&2,statistics{hii huwa inasumbua watu wengi na weng huwa wanasupp,mtaisoma pamoja na mwaka wa nne wa COET},research methodology,mathematics for economists,comm skills for social scientists,development studies1&2,princple of Accounting1&2,critical thinking and argumentation,computer application..so jipange 2,mambo co magumu wala marahis kivle,sisi tumeanza mwaka wa kwanza 126 ila bahati mbaya 13 wameliwa vichwa..otherwise karibu sana pale department of economics,utakutana na prof ossoro,dr karamagi,dr nyoni,dr mashindano,dr mkai,dr joel,dr mtui,prof mkenda,prof ndenshau na wengne kibao.kikubwa ni wewe kuwa makini na shule 2..kumbuka mkuu wako wa nchi alitoka pale na GPA ya 2.3 hayo maneno watakuambia wakati wa kukufanyia registration kama kukutisha 2..over
 
Back
Top Bottom