Bachelor of business in admistration TIA

Bachelor of business in admistration TIA

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mdogo wangu amechaguliwa chuo Cha TIA kwenye course business in admistration je kwa wale wanafahamu hiki chuo je ni sahihi kwa mdogo kusomea na vip kwenye wa Ajira kinazingatiwa kwa upande wa hii course
 
Kozi ni nzuri mimi mwenyewe nimemaliza huu mwaka hapo
Ila tatizo la ajira ni kilio cha taifa
Vipi ni chuo kinazingatiwa kwenye soko la Ajira especially kwa hii course au nimempeleke UDSM?
 
Back
Top Bottom