Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anaemfahamu mtu au kwa aliesoma hii kozi naomba anicheki inbox tafadhali
Nitashukuru wakija maana dahNgoja waje,
We jamaa ukisoma hii statement yako wewe mwenyewe unaielewa hahahahahaHakunaga bachelor ya hvyo , hyo ni course ya udaktari ngazi ya Cheti , kwenye Afya bachelor ya udaktari inaitwa Medical Doctor , huenda mambo yamebdrika labda Leo ipo hyo course ya bachelor of clinical medicine....Ila sidhani ,
Ha haa ..halafu ukute jamaa ana digrii ya UD aka jalalani universityWe jamaa ukisoma hii statement yako wewe mwenyewe unaielewa hahahahaha
Hakunaga bachelor ya hvyo , hyo ni course ya udaktari ngazi ya Cheti , kwenye Afya bachelor ya udaktari inaitwa Medical Doctor , huenda mambo yamebdrika labda Leo ipo hyo course ya bachelor of clinical medicine....Ila sidhani ,
Nchi yetu complicated sana soma tu MD au mbbs mambo yasiwe mengiNitashukuru wakija maana dah
Nilimpataga chief mmoja humu mwaka juzi alisoma hio kozi,alinipa information za kutosha sana..
Sema nimepoteza mawasiliano yake,na wakati huu ndio nahitaji sana
Ipo Kenya, Uganda km sikosei na Rwanda. Ila bado ilikuwa haitambuliki Tanzania.. so ukija huku ilikuwa inatambulika km AMO tu. Sijui kama mambo yapo hivyo hivyo au yamebadilikahiyo kozi haipo, kuna ordinary diploma in clinical (co) medicine tu, zaman kdg kulikuwa na assistant moedical officer (amo) ambayo ilikuwa ni advanced diploma in clinical medicine ila wakaifuta, ukitoka hapo ndo unakutana na degre, hyo bachelor degree in medicine (md).
labda huyo doctor alisomea nje
Niko hapa mhitimu wa BCMS niulize chochoteKwa anaemfahamu mtu au kwa aliesoma hii kozi naomba anicheki inbox tafadhali
Hakunaga bachelor ya hvyo , hyo ni course ya udaktari ngazi ya Cheti , kwenye Afya bachelor ya udaktari inaitwa Medical Doctor , huenda mambo yamebdrika labda Leo ipo hyo course ya bachelor of clinical medicine....Ila sidhani ,
Ficha ujinga wako basi!!Angalia usajili huu wa MCT na vyeti hivihiyo kozi haipo, kuna ordinary diploma in clinical (co) medicine tu, zaman kdg kulikuwa na assistant moedical officer (amo) ambayo ilikuwa ni advanced diploma in clinical medicine ila wakaifuta, ukitoka hapo ndo unakutana na degre, hyo bachelor degree in medicine (md).
labda huyo doctor alisomea nje
hiyo kozi haipo, kuna ordinary diploma in clinical (co) medicine tu, zaman kdg kulikuwa na assistant moedical officer (amo) ambayo ilikuwa ni advanced diploma in clinical medicine ila wakaifuta, ukitoka hapo ndo unakutana na degre, hyo bachelor degree in medicine (md).
labda huyo doctor alisomea nje
Kama hauna taarifa za kutosha ni vyema usikomment chochote ndugu,unapotosha watu ambao wanahitaji kujuahiyo kozi haipo, kuna ordinary diploma in clinical (co) medicine tu, zaman kdg kulikuwa na assistant moedical officer (amo) ambayo ilikuwa ni advanced diploma in clinical medicine ila wakaifuta, ukitoka hapo ndo unakutana na degre, hyo bachelor degree in medicine (md).
labda huyo doctor alisomea nje