mi ni mwenzako aixe Bed Guco inshalah tar 12 vice
Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi kwani naona shule zake ni chache sana hapa Tz. Mimi nimechaguliwa UDOM 1st year
Kamaliza mwaka gani na anaitwa nani maana nina wasiwasi kidogo na hii rejea yako?Kuna jamaa'angu kamaliza hiyo kitu SEKUKO Tanga akitokea Dip ya education...
Baada ya kumaliza degree kakosa ajira,karudi darasani na chet chake cha diploma
thankx bro ninafarijika xana kuona mlotutangulia mnatutia moyo thankx mungu awajalieBed guco, nyie nawatafta
sana! karbun sana! wadau. mim niko mwaka wa tatu. ..karbun sana ni
programe nzuri sana
welcome counselors!
wale wa GUCO hongereni
msisahau kujiunga na group ya macounselor BedGUCO UDOM kule FB mpate
taarifa na uzoefu toka kwa waliomaliza na wanaoendelea!
group linaitweje ?
Ukiwa unajua kucheza na opportunity ni koz nzur sana inayoweza kukupeleka mbali, alot of kids with special needs mf.wasioona na wenye uoni hafifu,walemavu ,viziwi ,albino etc hata tu wale ambai wapo na sychological problems mf street kids na orphan wote wanaangukia kwenye kundi hili,hao wote ni client wako.cha maana soma kwa bidii,uelewe uwe mtaalam wa ukweli lakin pia jenga huo moyo wa kupenda hicho unachofanya then itakutoa. Kwa kuongezea ukimaliza chuo kma utakuwa bado haujielewi elewi ntafute