Bachelor of education in special needs.=msaada tafadhalini

Bachelor of education in special needs.=msaada tafadhalini

wale wa GUCO hongereni msisahau kujiunga na group ya macounselor BedGUCO UDOM kule FB mpate taarifa na uzoefu toka kwa waliomaliza na wanaoendelea!
 
Bed guco, nyie nawatafta sana! karbun sana! wadau. mim niko mwaka wa tatu. ..karbun sana ni programe nzuri sana

welcome counselors!
 
Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi kwani naona shule zake ni chache sana hapa Tz. Mimi nimechaguliwa UDOM 1st year

Ukiwa unajua kucheza na opportunity ni koz nzur sana inayoweza kukupeleka mbali, alot of kids with special needs mf.wasioona na wenye uoni hafifu,walemavu ,viziwi ,albino etc hata tu wale ambai wapo na sychological problems mf street kids na orphan wote wanaangukia kwenye kundi hili,hao wote ni client wako.cha maana soma kwa bidii,uelewe uwe mtaalam wa ukweli lakin pia jenga huo moyo wa kupenda hicho unachofanya then itakutoa. Kwa kuongezea ukimaliza chuo kma utakuwa bado haujielewi elewi ntafute
 
Kuna jamaa'angu kamaliza hiyo kitu SEKUKO Tanga akitokea Dip ya education...
Baada ya kumaliza degree kakosa ajira,karudi darasani na chet chake cha diploma
Kamaliza mwaka gani na anaitwa nani maana nina wasiwasi kidogo na hii rejea yako?
 
Ukiwa unajua kucheza na opportunity ni koz nzur sana inayoweza kukupeleka mbali, alot of kids with special needs mf.wasioona na wenye uoni hafifu,walemavu ,viziwi ,albino etc hata tu wale ambai wapo na sychological problems mf street kids na orphan wote wanaangukia kwenye kundi hili,hao wote ni client wako.cha maana soma kwa bidii,uelewe uwe mtaalam wa ukweli lakin pia jenga huo moyo wa kupenda hicho unachofanya then itakutoa. Kwa kuongezea ukimaliza chuo kma utakuwa bado haujielewi elewi ntafute

Thanks alot sir
 
Back
Top Bottom