Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau soko la ajira lipoje kwa hyo coz, na vp kuhusu field zake lazma upige kwenye shule za special need, au popote
Wadau soko la ajira lipoje kwa hyo coz, na vp kuhusu field zake lazma upige kwenye shule za special need, au popote
Hiyo mimi imenitoa na ndo imeniweka mjini ila inadepend ni ulemavu upi umespecialize mfano mimi nifanya visual impairment ingawa pia na chuo ilichosoma ni muhimu sana indetails za special education wanatoa Sekomu kipo Tanga kwa vyuo vingine ni Udom na open University kama umepata Sekomu nakupatia hongera sana ndo ndo magraduate wake wanatamba kwenye soko udom wanasoma general tu cha ajabu hata ajira walizotangaza wao wenyewe ingawa wao wanatoa hiyo kozi waliwatema wa kwao wakawachukua magradueti wa Sekomu ndo waliowaajiriwa na hao waliowaajiri wamesoma fani ya wasioona na mimi pia nimesoma fani hiyo na niko udsm nimeajiriwa kwa ajili ya specia na jamaa zangu wawili pia jamaa zangu tulosoma nao wapo wanakula pesa baraza la mitihani na wengine mashirika binafsi yanayohudumia walemavu mimi nilikua nafanya kazi Sumbawanga vijijini mpakani na Zambia shule ya msingi kilichonitoa ni special na sijahonga hata shilingi ingawa juhudi binafsi zinahitajika SAUTI pia mwaka huu wameanzisha cjui sana wao wanatoa nini na zaidi ya hizo fursa kwa post za ualimu unapangwa shule nzuri za walemavu na unapangwa moja kwa moja hiyo ni kwa graduate wa vyuo vyote ingawa kwa waliosomea wasioona shule zao ni za kitaifa zaidi na zipo mijini mfano Kantalamba ipo Sumbawanga mjini Lugalo iringa mjini Tabora girls Tabora mjini Benjamini mkapa Ilala Dar nakadharika
Nashukulu kwa ufafanuzi mzuri, mimi nimechaguliwa SEKOMU.
Unanishauli ni specialize ulemav gani mkuu?
Nakushauri usipecialize visual impairment au kama vipi hearing impairment ila usijaribu mental retardation kwangu naona haina dili. Hongera kapige msuli utoke na GPA ya maana minaikubali sana Special education imenitoa mbali sana umri wangu mdogo but nimeifaidi na naendelea kuifaidi