Asante mkuu,Barikiwa CHAMVIGA.Vp na kuhusu field zake znaweza kufanyikia hata sekondari?
yap mara nyingi watu wanaosoma facult kama bed sped, bed in adulteducation, bed in child education na hata mimi niliyesoma bed science field tulifanyia kwenye masecondary pamoja na kwamba special area zetu za kufanyia kazi. Hii inatokana na uchache na sehemu hizo au chuo kuchagua baadhi tu ya mikoa na wilaya za kufanyia field.
napita
Yap mara nyingi watu wanaosoma facult kama Bed sped, Bed in adulteducation, Bed in child education na hata mimi niliyesoma Bed science field tulifanyia kwenye masecondary pamoja na kwamba special area zetu za kufanyia kazi. Hii inatokana na uchache na sehemu hizo au chuo kuchagua baadhi tu ya mikoa na wilaya za kufanyia field.
Huwezi soma "facult" ni program au degree program ndio inasomwa!!
Mi nimechaguliwa bachelor of education with special need udom.vp ajira zake zikoje mtu akimaliza?NAWAKARIBISHA WATU WOTE WENYE HEKIMA KWA MAWAZO YENGE HEKIMA
swala la ajira ondoa shaka, course za ualimu ajira zinawasubiri mkimaliza tu mnapata, kuhusu field jiandae kwenda secondary na ukipata mkopo utapata hela ya field sh.600,000. Jiandae kwenda ng'ong'ona aka ng'ox
pazuri tu.wajasi wapo tele
wajasi ndo watu gan?
wajasi ni mama ntilie wa mitaani, mara nyingi wanafunzi wengi hawali cafeteria kwa kukwepa gharama na ubaya wa chakula lkn kwa wajasi wali buku unakula mpk unasaza hasa huko ng'ox
Asante mkuu,Barikiwa CHAMVIGA.Vp na kuhusu field zake znaweza kufanyikia hata sekondari?