Bachelor of education with special need-udom

Bachelor of education with special need-udom

Flammable

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
872
Reaction score
103
Mi nimechaguliwa bachelor of education with special need udom.vp ajira zake zikoje mtu akimaliza?NAWAKARIBISHA WATU WOTE WENYE HEKIMA KWA MAWAZO YENGE HEKIMA
 
Ukiwa ni mwalimu haijalishi ni Bed sped, Bed ece,Bed science et al wewe kazi utapata tu. Hata area ya specialization yako ikiwa imejaa still utapangiwa shule nyengine hata za sekondary.
 
Asante mkuu,Barikiwa CHAMVIGA.Vp na kuhusu field zake znaweza kufanyikia hata sekondari?
 
Asante mkuu,Barikiwa CHAMVIGA.Vp na kuhusu field zake znaweza kufanyikia hata sekondari?

Yap mara nyingi watu wanaosoma facult kama Bed sped, Bed in adulteducation, Bed in child education na hata mimi niliyesoma Bed science field tulifanyia kwenye masecondary pamoja na kwamba special area zetu za kufanyia kazi. Hii inatokana na uchache na sehemu hizo au chuo kuchagua baadhi tu ya mikoa na wilaya za kufanyia field.
 
yap mara nyingi watu wanaosoma facult kama bed sped, bed in adulteducation, bed in child education na hata mimi niliyesoma bed science field tulifanyia kwenye masecondary pamoja na kwamba special area zetu za kufanyia kazi. Hii inatokana na uchache na sehemu hizo au chuo kuchagua baadhi tu ya mikoa na wilaya za kufanyia field.

asante mkuu
 
soma kwanza ndo uanze kulizia mambo ya kazi,kama kazi azipatikani utasoma kamata gamba lako kwanza mambo mengine yatafuata.
 
Yap mara nyingi watu wanaosoma facult kama Bed sped, Bed in adulteducation, Bed in child education na hata mimi niliyesoma Bed science field tulifanyia kwenye masecondary pamoja na kwamba special area zetu za kufanyia kazi. Hii inatokana na uchache na sehemu hizo au chuo kuchagua baadhi tu ya mikoa na wilaya za kufanyia field.

Huwezi soma "facult" ni program au degree program ndio inasomwa!!
 
Mi nimechaguliwa bachelor of education with special need udom.vp ajira zake zikoje mtu akimaliza?NAWAKARIBISHA WATU WOTE WENYE HEKIMA KWA MAWAZO YENGE HEKIMA

Swala la ajira ondoa Shaka, course za ualimu ajira zinawasubiri mkimaliza tu mnapata, kuhusu field jiandae kwenda secondary na ukipata mkopo utapata hela ya field sh.600,000. Jiandae kwenda ng'ong'ona aka NG'OX
 
swala la ajira ondoa shaka, course za ualimu ajira zinawasubiri mkimaliza tu mnapata, kuhusu field jiandae kwenda secondary na ukipata mkopo utapata hela ya field sh.600,000. Jiandae kwenda ng'ong'ona aka ng'ox

vp hapo ng'ong'ona pako poa?
 
Don't cross the bridge before you reach there!!!!!
 
Asante mkuu,Barikiwa CHAMVIGA.Vp na kuhusu field zake znaweza kufanyikia hata sekondari?

wewe ni mwl kama walimu wengine isipokuma wewe una extraaddition zaidi ya wale walimu wa kawaida, wewe utakuwa na uwezo pia wa kuwasaidia wanafunzi wa ulemavu utakaosomea, piga dogo ww uzaidi ya ualimu, piga book dogo.
 
Back
Top Bottom