Kwa sasa wa Tanzania ndio wamegundua kuwa hospitali haziwezi kuwa managed na madaktari. Mtu anafundishwa kutibu halafu unakuja kumweka ndio manager au administrative affairs za hospitali wapi na wapi?
Mnahitajika sana tu, sio tu serikalini lakini kwa watu binafsi wenye biashara za hospitali! Mimi siwezi kumwajiri mtu mwenye a general business management degree ku run hospitali nimwache mtu aliyesomea hospital system management. Wazungu walishaona utofauti mkubwa wa skills zinazohitajika kuendesha biashara/ shughuli zingine na skills zinazohitajika kuendesha hospitali.
Unachosoma ndio emerging courses Africa japokua kwa wenzetu toka miaka ya 90 wameintroduce vyuoni. Soma wakija kushtuka market iko saturated.
Cha muhimu jifunze "kujiuza" yani advertise your skills once you have them, kwasababu kama unavyoona wengi hawana uelewa wa hii kitu.
Ukitoka hapo uchukue masters ya health economics, dogo WHO, UNICEF e.t.c. inakua viwanja vyako vya kujidai.